SANTHOME SABS GIRLS' SEC.

Maelekezo ya kununua fomu mtandaoni

Tafadhali bonyeza hapa kusoma maelezo ya kina kabla ya kulipia fomu

 1. Tuma TSh 25,000/= kwenda kwa namba hii ya simu
  0659 367 977
  USITUMIE wakala au simubenki kufanya malipo. Tuma kutoka kwenye simu yako.
  Unaweza kutuma kiwango zaidi kutegemeana na idadi ya fomu unazohitaji.
 2. Tutakapopokea malipo yako tutakutumia ujumbe kwenye namba uliyoitumia kufanya malipo. Ujumbe huo utakuwa na token.
 3. Bonyeza Pakua fomu. Ingiza namba ya simu uliyotumia kufanya malipo.
 4. Ingiza token tuliyokutumia kwa ujumbe mfupi
 5. Ingiza jina kamili la mwanafunzi kama lilivyosajiliwa kwenye mtihani wa taifa. Kuwa makini, hutaweza kubadilisha jina ukishahifadhi taarifa.
  Vile vile weka mamba ya mtihani ya mwanafunzi na uchague tahususi (combination) anazotaka.
 6. Hifadhi Taarifa
 7. Pakua fomu. Ichape (print) na ufuate maelekezo yake.
  Rudia kupakua fomu ukibadilisha namba ya mtihani au tahususi
 8. Ambatanisha scan/vivuli vya cheti cha kuzaliwa, cheti cha ubatizo na fomu iliyojazwa.
  Viwe chini ya MB10 kila kimoja. Unaweza ukavifungua ukishaambatanisha kwa uhakiki


Imetengenezwa na Code Dreamers