TAFADHALI SOMA MAELEZO KWA MAKINI
Fomu ya maombi iambatanishwe na Photocopy ya
➢ Result slip ya CSEE 2026 au copy ya matokeo kutoka mtandaoni
➢ Cheti cha Kuzaliwa
➢ Cheti cha Ubatizo
Fomu irudishwe ofisi ya shule Tar 20/02/2027 Jumamosi au kabla.
Njia ya Kurudisha Fomu
✓ Fikisha ofisi ya shule Dodoma mkononi.
✓ Scan vizuri pdf na tuma kwenye whattsapp number +255 764 637 877 / +255 746 149 500
✓ Watakao rudisha fomu mapema na wanasifa watachaguliwa kwanza.
✓ Kama unatuma fomu iliyojazwa kwa njia ya mtandao -whattsapp – unapaswa kuleta
hardcopy (original) siku ya usajili.
Fomu isiyo kamili haitapokelewa.
Wanafunzi waliomaliza CSEE mwaka 2026 tu wanastahili kupokelewa.
Wanafunzi waliofaulu kwa Division I au II tu watachaguliwa.
Pia ni Lazima uwe na angalau Daraja C kwa masomo yote ya Combi yako.
Wanafunzi wa PCB, CBG na HGE wawe na Daraja C kwa Basic Mathematics.
Uchaguzi utakuwa kulingana na Ufaulu wako wa CSEE tu.
Wanafunzi watakaochaguliwa watapewa taarifa na joining instruction kwenye whattsapp namba ambayo watajaza kwenye fomu.
Masomo ya Pre Form 5 yataanza rasmi tarehe 22/02/2027 hadi 29/05/2027.
Ada ya Pre Form 5 ni 750,000/= kwa miezi mitatu (3).
Ukifaulu Pre Form 5 vizuri tu, utapokelewa kujiunga Form 5.
Comments are closed.